Saturday, August 29, 2015

Mh. Magufuli aendeleza Mafuriko Njombe, Amwaga Sera bila ya huruma



CCM inaendelea kuonyesha kuwa ni Chama Imara zaidi na Imani ya watu inazidi kuwa upande wa CCM. Mh. Magufuli anamwaga Sera zake na kuweza kiuwazi kabisa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi. Hakuna USIRI wa kwenda kwenye Mtandao ili kusoma ilani ya chama kama ambavyo UKWA wanavyo sema. Kura yangu nampa Mh. Magufuli anaye sema kiuwazi sera na ilani za Chama Cha Mapinduzi. 

#HapaKaziTu

No comments:

Post a Comment