Tuesday, August 25, 2015

ORODHA YA WAGOMBEA WALIOTEULIWA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI

UKAWA wameshindwa kuteleza sheria.

Name:  CCM.jpg
Views: 8274
Size:  48.6 KB

Hii fomu ya Mgombea Ubunge wa CUF ( UKAWA ) imesainiwa na karani wa mahakama badala ya Hakimu. Ndio maana jina la Hakimu halikuandikwa. Ni kosa kisheria na ndiyo sababu ya mgombea huyo wa UKAWA Kuenguliwa.

Name:  Karani.jpg
Views: 10024
Size:  56.6 KB

No comments:

Post a Comment