Thursday, August 27, 2015

MICHANGO ISHAANZA KIDOGO KIDOGO KWA UKAWA



Hii ndiyo kazi ya chadema fedha za ruzuku zote zimeliwa na wanazidi kuwakamua wanachama wao kwakuwaaminisha kuwa chama masikini wakati ruzuku tuu wanayopokea miaka yote hiyo hata kiwanja wala ofisi waliyojenga hawana .

Ningumu sana kukupeni nchi wakati fedha za ruzuku tuu hamjazitumia kimaendeleo mwenyekiti anajikopesha na hakuna anayehoji chochote


Ukawa jipangeni kwanza tuonyesheni uwezo wenu wa kuwa na nidhamu katika matumizi ya ruzuku kwanza ndipo sasa tunaweza sema mnaweza kuliongoza Taifa hili

No comments:

Post a Comment