Monday, August 24, 2015

CCM YANZINDUA KAMPENI ZA URAIS KATIKA VIWANJA VYA JANGWANI

Habari katika picha:

Chama Cha Mapinduzi kimefungua kampeni za Uchaguzi wa Rais na Wabunge leo katika viwanja vya Jangwani vilivyopo Dar Es Salaam Tanzania.

Zifuatazo ni habari katika picha kuhusu kapemzi kamabde ya CCM ambacho ni Chama Tawala kinacho Mnadi Mgombea wake Mheshimiwa John P. J. Magufuli.









Waziri Mkuu Mstafu - Joseph Warioba pamoja na Salim A. Salim wakiingia katika viwanja vya Jangwani kwenye uzinduzi wa kampeni za CCM











No comments:

Post a Comment