Thursday, August 27, 2015

MH.FREEMAN MBOWE AMSIFIA MAGUFULI NA SERIKALI YA CCM KWA KAZI NZURI

Mh Freeman Mbowe AMSIFIA MH. MAGUFULI, alisema alisafiri haraka kutoka Mwanza kuja jimboni kwake ili ajumuike na waziri John Pombe Magufuli wakati wa kukagua Ujenzi wa Barabara ya Kwa Sadala - Masama, Machame km 16

No comments:

Post a Comment