Wednesday, December 9, 2015

Mheshimiwa Waziri Mkuu Majaliwa akifanya usafi


Hapa kwenye picha ni Waziri Mkuu Majaliwa akitimiza ombi la Rais wa Tanzania Dr. Magufuli la kufanya usafi. Wapi walipo Mbowe, Lowassa, Sumaye na UKAWA? Je, UKAWA wao hawataki usafi?

Na Mr. Chin

No comments:

Post a Comment