Friday, December 4, 2015

Kazi za Mahouse girls ndio hizi, achepuka na kumfunga mtoto kamba


Jamani muwe mnaangali nani wa kumwajiri kwa kazi za ndani. Ona hapa, huyu mtoto kafungwa kamba kama Mbuzi au Umbwa. Kisa, House girl kaenda mchepupo.


No comments:

Post a Comment