Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA, imewafikisha mahakamani watuhumiwa wanne kwa tuhuma za kusambaza ujumbe wa uongo katika mtandao wa kijamii wa Whatsapp, unaoelezwa kuzungumzia kubainika kwa masanduku ya kura bandia katika majimbo mbalimbali nchini.
Nini maoni yako kuhusu watu wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii?
No comments:
Post a Comment