Habari tulizo zipokea katika chumba chetu cha habari ni kuwa, Marais wamesha anza kutoa uthibisho wa kuja kwao katika kuapishwa kwa Rais Mteule Dkt John P Magufuli.
Marais hoa ni Yoweri Museven, Paul Kagame, Uhuru Kenyatta, Jacob Zuma na wengi wengi. Tutawa endelea kuwataarifu kadri tupokeapo habari.
Mr Chin
No comments:
Post a Comment