Rais wa awamu ya 5, Dr. John Magufuli akihutubia baada ya kuapishwa
Rais wa awamu ya 5, Dr. John Magufuli akihutubia baada ya kuapishwa ameomba ushirikiano wa Watanzania ili aweze kuzitekeleza ahadi.
-Pia ameviomba vyama vya Upinzani vimuunge mkono kwenye uongozi wake ili aweze kufanikiwa
No comments:
Post a Comment