Dk.John Magufuli amekula kiapo cha Rais na Samia Suluhu kala kiapo Makamu wa Rais.Mungu awaongoze Katika majukumu yenu mapya ya kuliongoza taifa hili.Kwa hiyo kuanzia Leo rasmi Magufuli ni Rais na Samia ni Makamu wa Rais.Sasa Mkachape Kazi mliyoomba na mkapewa na Watanzania.
No comments:
Post a Comment