Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Makatibu wa Matawi wa CCM wakati alipowasili kwenye kijiji cha Ilemba wilayani Subawanga Vijijini kuhutubia mkutano wa Kampeni za CCM kumnadi mgombea urais, wabunge na madiwani Oktoba 10, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjumbe wa Kamti Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia mkutano wa kampeni za CCM kumnadi mgombea urais, wabunge na madiwani katika kijiji cha Sandulula , Sumbawanga Vijijini Oktoba 10, 2015
Wapenzi na wanachama wa CCM wakimpongeza aliyekuwa mgombea udiwani wa ACT katika kata ya Ilemba wilayni Sumbawanga Vijijini, Bw. Sospeter Magese ambaye alikihama chama hicho na kurejea CCM katika mkutano wa kampeni za CCM uliohutubiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika kijiji cha Ilemba Oktoba 10,2015.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea kadi ya chama cha ACT kutoka kwa aliyekuwa mgombea Udiwani wa Chama hicho katika kata ya Ilemba, Bw. Sospeter Magese aliyekihama chaa hicho na kurejea CCM katika mkutano wa Kampeni za CCM uliohutubiwa na Mheshimiwa Pinda katika kijiji cha Ilembea Oktoba 10,2015.
Wananchi wa Kijiji cha Sandulula wilayani Sumbawanga Vijijini wakimshangilia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipowahutubia katika mkutano wa kampeni za CCM wa kumnadi mgombea urais wa CCM, wabunge na madiwani kijijini hapo Oktoba 10, 2015.
No comments:
Post a Comment