Monday, October 12, 2015

MAMA SAMIA ATIKISA KWA KAMPENI KATIKA MAJIMBO YA SHINYANGA LEO, ATINGA GEITA KWA KISHINDO

 Wananchi wakiwa wamezuia msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika eneo la Tinde jimbo la Msalala mkoani Shinyanga, wakati ukiwa njiani kwenda Kahama mkoani humo leo
 Mama akiwa amekwenda na watoto wake, kumshuhudia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan msafara wa Mgombea huyo ulipoziwa na wananchi katika eneo la Tinde jimbo la Msalala mkoani Shinyanga, wakati ukiwa njiani kwenda Kahama mkoani humo leo
 Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie wakishushwa kwenye Pick Up walipowasili kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika jimbo la Kahama mkoani Shinyanga leo
 Wasanii wa Bongo Movie wakiwasalimia wananchi baada ya kuwasili kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, uliofanyika leo katika jimbo la Kahama mkoani Shinyanga
 Kiongozi wa kundi la kamapeni za CCM la Mama Ongea na Mwanao, Steven Mangele maarufu kwa jina la Steve Nyerere, akihamaisha wananchi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kahama mkoani Shinyanga leo
 Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipohutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kahama mkoani Shinyanga
 Wasanii wa kundi la kampeni la Ninesttuka, wakishambulia jukwaa kuhamasisha wananchi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kamaha mkoani Shinyanga
 Mgombea Ubunge jimbo la Kahama mkoani Shinyanga, Jumanne Kishimba, akiomba kura kwa wananchi, katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoani Shinyanga. 
 Kada wa CCM ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Makonda,  akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kahama mkoani Shinyanga leo
 Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM Kitaifa Chrisopher Ole Sendeka akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kahama mkoani Shinyanga
 Baadhi ya viongozi wa CCM wilayani Kahama mkoani Shinyanga, wakiwa kwenye mkutano wa kampeni wa Mama samia uliofanyika katika jimbo la kahama leo
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kamaha mkoani Shinyanga
 Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM Kitaifa, Angela Kizigha, akisalimiana na  Mjumbe wa NEC, Gasper Kileo katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kahama mkoani Shinyanga leo
 Mgombea Ubunge jimbo la Msalala, Ezekiel Maige akisalimia wananchi wakati msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hasaan ulipozuiwa na wananchi katika eneo la Nundu mkoani Shinyanga leo 
 Mgombea Ubunge jimbo la Msalala, Ezekiel Maige (kushoto) akikimbia kuwahi gari lake, bada ya kusalimia wananchi wakati msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hasaan ulipozuiwa na wananchi katika eneo la Nundu mkoani Shinyanga leo 
 Wananchi wakiwa katika shamrashamra wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Nyang'wale mkoani Geita leo
 Wananchi wakiwa na bango kumfikishia ujumbe, Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia Suluhu Hassan wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Nyang'wale mkoani Geita
 Mgombea ubunge jimbo la Nyang'wale Hussein Amar akiomba kura wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoani Geita
 Mkuu wa mkoa wa Geita Fatma Mwasa (kulia) akijadiliana jambo na wajumbe wa kamati ya kampeni za CCM kitaofa, Angela Kizigha na Christopher Ole Sendeka katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Nyag'wale katika mkoa huo leo
 Swaga za wananchi a jimbo la Nyang'wale
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Nyang'wale mkoani Geita. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

No comments:

Post a Comment