Monday, October 12, 2015

Mh. Magufuli aiteka Nachingwea Lindi













Wananchi wa Nachingwea Lindi wakimshangilia Mgomea wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania kwa ticketi ya Chama Cha Mapinduzi  Mheshimiwa Dr. John P.J. Magufuli.wakati akihutubia wananchi katika Viwanja vya Sokoine leo asubuhi. 

No comments:

Post a Comment