Sunday, December 6, 2015

Vicky Edward Mollel AFUKUZWA uanachama CCM na kukimbilia CHADEMA -UKAWA

Alisimamishwa uanachama, kujihusisha na kampeni za mbunge arusha mjini na kuvuliwa cheo tangu mwezi wa November 2015 kwa tuhuma za kuvaa nguo za CCM na kuipigia kampeni UKAWA! Baada ya kuona anawayawaya ndo leo kaamua kukimbilia kule ambako majipu yenye harufu chafu hukimbilia! USISHANGAE COZ YULE NAYE MASAI KAMA WAMASAI WENGINE!

Na Mr. Chin

No comments:

Post a Comment