" Nyinyi ni majirani zangu na kwa bahati nzuri tupo pamoja leo katika usafi pia nimesikia malalamiko yenu kuhusu makodi kodi yasiyokuwa ya msingi na nitayafanyia kazi kwa sababu pia naamini nyinyi wenzangu ndio mmenipigia kura"
Hayo ni maneno aliyekuwa akiyasema rais Magufuli kuwaambia wafanyabiashara wa ferry wakati akifanya nao usafi katika siku ya uhuru ambaye leo imegeuzwa kuwa siku ya usafi kwa maagizo yake.
Na Mr. Chin
Na Mr. Chin
No comments:
Post a Comment