Monday, December 7, 2015

Benki ya Dunia yampongeza Rais Magufuli



Ikiwa ni siku ya 32 tu tangu aingie madarakani, Benki ya Dunia (WB) imempongeza Rais John Magufuli kwa kuongeza mapato na kupunguza matumizi ya serikali ya Tanzania.

No comments:

Post a Comment