Siku ya leo ya Uhuru imenikuta nikiwa Mkoani Arusha kwenye kampeni za Ubunge Jimbo la Arusha Mjini,Nimeshiriki kufanya Usafi na wananchi wa Arusha Mjini,Kila mmoja wetu achukue hatua kuhakikisha Tanzania inakuwa safi wakati wote.
TUJIPONGEZE KWA UHURU NA KAZI,WOTE TUSEME KWA VITENDO HAPA KAZI TU.
Na Mr Chin
No comments:
Post a Comment