Tuesday, October 13, 2015

Vijana WASIMAMISHA Msafara wa Magufuli











Siku zinavyozidi kwenda mbele ni lazima tujue kuwa ushindi wa Magufuli ni lazima kwasababu mikutano aliyoifanya na idadi ya mikoa aliyoenda pamoja na majimbo aliyofika na vijiji alivyofika kuomba ridhaa ni mara mbili ya sehemu walizofika ukawa hivyo ushindi ni lazima kwa Magufuli. ‪#‎HapaKaziTu‬
‪#‎KijanaWakatiNiWako‬

No comments:

Post a Comment