Tuesday, October 13, 2015

Matukio ya ajabu ajabu kwenye kampeni

Labda demokrasia ndivyo inavyokua nasi tumekomaa kiasi cha kuweza kuzuia mihemuko na jazba zitakatokana na taafsiri ya matukio haya na yanayo fanana na haya.

Ama pengine tatizo lipo kwenye mtizamo na tafsiri kama asemavyo Bandio, "The way you see the problem, is the problem".




Ilitokea huko Iramba, Singida wakati aliyekuwa Mwenyekiti CHADEMA Iramba alipojiunga CCM na mbwa kuvishwa bendera ya CHADEMA (bofya hapa kutizama video ya tukio hili).
Picture
Katibu wa CHADEMA, Kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es Salaam, Kamanda Henry Kilewo akimkabidhi Mzee kadi mpya ya CHADEMA baada ya mzee huyo kurudisha kadi ya TANU (CCM) maeneo ya Usangi, Kilimanjaro.


No comments:

Post a Comment