#TUJIKUMBUSHE Mbowe na Mtei walamba mabilioni kuiuza Chadema. Kuna waliopoteza uhai wao kupigania ajenda ya ufisadi ambao ilikuwa mhimili mkuu wa Chadema. Haya ndo malipo yao? Wangapi walioachwa na ajeraha/makovu ya kudumu? Haya ndo malipo yao? Amin nawaambia, damu na makovu ya hao mliowasaliti haitopotea bure.
Ewe mpigakura ambaye hujafanya maamuzi hadi muda huu, usipoteze kura yako kwa wasaliti hawa. Watakusaliti nawe pia.
No comments:
Post a Comment