Mke wa Lowassa sasa anajiuliza kma huu mtaji utalipa ua ni kutumiwa tu. Picha inajieleza vizuri sana kwa wataalam wa kuzisoma, namuona Mbatia, Sumaye, Mbowe, na wengine wakifurahi, lakini mama mkono shavuni.