MKUTANO WA UKAWA/CHADEMA JIMBO LA VWAWA WADODA
Mgombea ubunge jimbo la VWAWA (FANUEL MKISI) akimsikiliza Chifu wa Wanyiha. Mkutano huo ulikuwa na watu kama dazani moja tu.
Chifu wa Wanyiha amesema yeye ndo alikuwa mwenyeji wa Nyerere kila akija wilaya ya Mbozi na ndiye aliwaunganisha machifu wenzake kuifanyia CCM na Nyerere matambiko. lAKINI KWENYE HUU MKUTANO WAKE WA chadema Mbozi ulidoda na kukosa wasikiliza.
No comments:
Post a Comment