Saturday, October 10, 2015

Magufuli kawakalia kooni UKAWA









Kila siku zinavyo zidi kuyoyoma, UKAWA wanapumulia mashinda na kutengeneza mafuriko ya "IT", ilimradi tu, wajipe moyo kama yale mafuriko ya Guinea Conakry. Haya mafuriko ambayo yanamfuata Magufuli kila aendapo, yanawapa mpasuko wa moyo UKAWA na Lowassa.  

No comments:

Post a Comment