Sunday, October 11, 2015

MBOWE NA UKAWA/CHADEMA NI VIGEUGEU, WANAFIKI NA WAONGO

EBU JAMANI TUJIKUvvMBUSHE KAULI ZA HAWA HUKO NYUMA

1. Nawashangaa wanaowachoma moto Vibaka na kumuacha Lowassa akitanua mitaani -Freeman Aikaeli Mbowe;


2. Anayemuunga mkono Lowassa akapimwe akili haraka -Mch. Peter Msigwa


3. Nina ushahidi wa kutosha kuhusiana na Wizi na Ufisadi wa Lowassa na Rostam -John Mnyika.


4. CCM wamempatia Fisadi Lowassa fomu ya kugombea urais. Ni hatari sana -Tundu Lissu.


5. Nimesema kama UKAWA tutamsimamisha fisadi , mna haki ya kututosa -Halima mdee


6. I thought safari ya Matumaini was poorly organized, imekuwa safari ya marumizi


7.Taarifa kwa Umma: Serikali iache kumlinda Lowassa , ni mmoja wa mizizi ya ufisadi wa Richmond. Akamatwe, ahojiwe na achukuliwe hatua za kisheria - Yeriko Nyerere


8. Wakati Mwakyembe na Magufuli wakiwajibika kulitumikia taifa , kuna Mapaka shume yanatembea Makanisani na Misikitini yakisaka urais -Yeriko Nyerere


9. Ni heshima kwa Mungu kumzomea na kumtukana mtu FISADI kama Lowassa -Godbless Lema


10. Pamoja na haki ya kila mtu kugombea urais ,kwa hawa walioomba kutoka CCM, I don't *see talent , kwangu mimi wote ni average brain-Peter Msigwa' s *tweet 09/06/2015


11. Mtu anayetaka nafasi urais, lazima awe tayari kujipima, kujitafakari, kujiridhisha kuwa anatosha, yeye mwenyewe kwanza, afanye hayo, ajipime , ajitafakari na ajiridhishe kuwa anatosha:
* * * *¡ * kiafya
* * * *¡¡ *kiakili
* * * *¡¡¡ *kimaadili
* * * *¡v kidhamira
Lazima ujipime hayo kama unapungukiwa na mojawapo kati ya hayo, hufai, lakini la pili uwe tayari Umma kukupima katika hayo niliyoyataja, uwe tayari Umma ukupime kiafya, kiakili, kimaadili na kidhamira, siyo unajipima tu mwenyewe na unasema , mimi sawasawa, A a a *a, na Umma nao ukupime - Fredrick Tluwaye Sumaye


12. CCM mkimpitisha Lowassa nahama Chama -Sumaye


13. Njaa hadi kwenye nyumba za ibada, Wachungaji wa makanisa mbalimbali ya Kikristo wakiandamana muda huu kwenda nyumbani kwa Edward Lowassa kumshinikiza achukue fomu ya kugombea urais. I hope Mapadre hawamo humo. Mungu atuepushe.*


Yaani Kanchi ketu haka kanaendeshwa kwa ujanja ujanja na wiziwizi tu. Mtu akiwa na hela zake basi anafanya jambo lolote tu -Julius Mtatiro
14. Lowassa ni dhaifu -MBOWE

No comments:

Post a Comment