Magufuli sasa kuapishwa tu, baada ya Lowassa kukimbia........
Mh John Magufuli sasa amebakia kuapishwa tu maana hana mpinzani Tanzania. Hakuna wa kumsimamisha hata kiwe kisiki cha Mbuyu lazima king'olewa tu.
Hapa Kazi tu ndio slogan yake na imesha anza kuwang'oa UKAWA. Leo mmesikiwa kuwa Lowassa kakimbia mdahalo kwasababu hana sera na ni mdhaifu.
Mr. Chin
No comments:
Post a Comment