Lowassa aanza kubwaga manyanga, akimbia mdahalo
Asie kubali kushindwa si mshindani. Hii ni habari mbaya kwa UKAWA baada ya mgombea wao kuonyesha udhaifu mkubwa wa kusimama mbele ya halaiki ya watu na kumwaga sera zake. Hii sio mara yake ya kwanza, hata alipo fungua kampeni zake, Lowassa huyu huyu alishindwa kumwaga sera zake pale Jangwani. Hii ni sihara tosha kuwa Lowassa hawezi kuwa Rais wa Tanzania.
Kila siku huwa nasema kuwa, UKAWA hawana sera na Lowassa ni dhaifu na hana ukakamavu wa kuwa Amiri Jeshi Mkuu. Leo mmesikia wenyewe kuwa Lowassa amakimbia mdahalo na hii ni sifa ya watu wanao shindwa. Poleni sana UKAWA maana sasa mtakuwa wakiwa mpaka kiyama.
Mr Chin
No comments:
Post a Comment