Sunday, October 18, 2015

Lowassa asema HAPA KAZI TU akiwa Mbeya, Mbowe ATOKWA Machozi

Kwa walio msikiliza babu leo akiwa Mbeya maneno yake ya mwisho katika hotuba yake ya dakika chache alisema #HapaKaziTu. 

Hivi yupo sawa kweli?

Anaebisha aweke kipande cha mwisho mwisho kabisa cha maneno ya Lowassa Mbeya.

No comments:

Post a Comment