Sunday, October 18, 2015

Hali tete UKAWA, Lowassa awaliza Mbowe na viongozi wengine wa Chadema



Picha inajieleza kwa zaidi ya maneno elfu moja. Mbowe ashikwa na kigugumizi baada ya kuona hali ilivyo mbaya kwenye UKAWA kwasababu ya Lowassa.

Poleni sana UKAWA, huo mzigo mnao mpka taerhe 25 October mtakapo bwaga manyanga na kumpigia kura Dr. Magufuli wa CCM.

Na Mr. Chin

No comments:

Post a Comment