














Asanteni Hai mjini,Vunjo,Same,Mwanga,Arumeru kwa operation kata kwa kata ya kuomba kura za Urais,Ubunge na Udiwani kwa Chama cha Mapinduzi.
CCM imemsimamisha Magufuli kwa nafasi ya Urais kwa malengo ya Kushughulikia Majizi na Mafisadi,Watendaji wazembe n.k
Makataba wa Magufuli na Watanzania ni KAZI TU.
No comments:
Post a Comment