News reports and headlines from Africa updated with breaking news.
Wednesday, October 7, 2015
CHADEMA YASAMBARATIKA baada ya Mh. Magufuli kuingia Moshi Mjini
Baada ya Mh. Magufuli kuingia Moshi Mjini, CHADEMA yasambaratika. Hii ndio nguvu ya Tinga Tinga ambayo haiogopi ngome yeyote ile. Wakazi wa Moshi Mjini sasa wasema kura zao zote wataipa CCM na kuipa BAI BAI UKAWA na mgombea wao.
No comments:
Post a Comment