





Mh. Magufuli akihutubia wakazi wa Hydom leo asubuhi. Kazi inaendelea ya kupitia vitongoji vyote Tanzania na kusikiliza matatizo ya Watanzania. Huyu ndie kiongozi bora anaye onana uso kwa uso na wananchi na kusikiliza matatizo yao.
Mpigie Kura Mh. John Magufuli.
Mr. Chin
No comments:
Post a Comment