Sunday, October 11, 2015

DANGOTE CEMENT FACTORY YAFUNGULIWA MTWARA, LOWASSA WAWEWESEKA NA UONGO WAKE WA KUWA TANZANIA HAIWEZI KUWA NA VIWANDA BILA YA ELIMU


Dangote Cement Factory live at Mtwara





The Owner Super Bilionea Dangote and the President JK



Dangote amemjibu Lowassa kwa kuweka Kiwanda cha Cement Mtwara. Lowassa anaye dai kuwa Tanzania haiwezi kuwa na Viwanda kwasababu hatuna elimu limiejibiwa na Dangote kuwa ni dai dhaifu, ni uongo na unafiki wa Lowassa na CHADEMA. 

Lowassa, njoo utuambie, hiki kiwanda kinaongozwa na Wapumbavu na Malofa au watu walio enda shule? Kwanini UKAWA NI WANAFIKI NA WAONGO NAMNA HII?

CJADUA CCM YENYE KUIPENDA NCHI KWA KUWA NA SERA YA VIWANDA ITAKAYO lete ajiri nyingi kwa vijana wetu.

No comments:

Post a Comment