Huyu Lowassa ni MNAFIKI NA MUONGO NA HAFAI KUWA RAIS.
Dangote amemjibu Lowassa kwa kuweka Kiwanda cha Cement Mtwara. Lowassa anaye dai kuwa Tanzania haiwezi kuwa na Viwanda kwasababu hatuna elimu limiejibiwa na Dangote kuwa ni dai dhaifu, ni uongo na unafiki wa Lowassa na CHADEMA.
Lowassa, njoo utuambie, hiki kiwanda kinaongozwa na Wapumbavu na Malofa au watu walio enda shule? Kwanini UKAWA NI WANAFIKI NA WAONGO NAMNA HII?
CJADUA CCM YENYE KUIPENDA NCHI KWA KUWA NA SERA YA VIWANDA ITAKAYO lete ajiri nyingi kwa vijana wetu.
No comments:
Post a Comment