Thursday, October 1, 2015

BREAKING NEWS: NDEGE YA JWTZ YAANGUKA BAHARI YA HINDI..WANAJESHI WAWILI AMBAO NI MARUBANI HAWAJULIKANI WALIPO



Muda mfupi uliopita ndege kivita ya JWTZ imeanguka baharini na kusababisha vifo vya watu wawili. Lt. Col Ndongolo na Capt. Hamis waliokuwa kwenye ndege hiyo.


Ndongolo alikuwa mkufunzi na Hamis alikuwa rubani mwanafunzi.
Wavuvi wamebahatika kupata parachutes na helmet zao tu.
Zimepatikana parachutes na helmet ila Makamanda wetu hawajapatikana, ndege pia imepatikana
Taarifa zaidi zitafuata HIVI PUNDE!

No comments:

Post a Comment