News reports and headlines from Africa updated with breaking news.
Saturday, August 29, 2015
MONDULI WAMLILIA MAGUFULI, WASEMA WAMECHOKA NA LOAWASSA
Wanawake wengi sana Tanzania wanasema hatuna budi kumpa CCM Kura zao kutokana kutambuliwa kwao kuchaguliwa Mama huyu kua Mgombea Mwenza, Mama huyu mwenye hishima na mchapa kazi na asopenda Uzembe katika kazi anayo pewa kuifanya. Shikamoo mama Samia;
No comments:
Post a Comment