
Wapenzi wa Mh. Magufuli wakionyesha uzalendo

Uwanja Wafurika watu kama utitiri

Mh. Magufuli alakiwa kama Mfalme

Mh. Magufuli akiingia Uwanjani. Malundo ya watu wamzunguka huku wakitaka kumsalimia

Mh. Magufuli #HapaKaziTu

Wakina Mama wa Mbeya wasema kura zao watampa Mh. Magufuli
No comments:
Post a Comment