Hizi zana za Kivita ni za UKAWA ambao wamepania kuvunja amani baada ya uchaguzi. Kamwe usiwachague watu wenye nia mbaya na nchi yako. Tanzania ni nchi ya amani na hatutaki iwe kama Libya.Huyu kijana hapa chini aliye beba Panga ni mwanachama wa CHADEMA akifuata maamrisho ya viongozi wake wa UAKWA ya kuvunja sheria na amani ya Tanzania.
CHAGUA AMANI, CHAGUA MAGUFULI
No comments:
Post a Comment