Leo October 25, 2015 ndio siku ambayo kila mtanzania ana haki ya kumchagua kiongozi ambaye atakayeongoza au atakayeyatimiza yale mwananchi anayoyataka kwenye huduma mbalimbali. Sasa basi ripota wetu amepita baadhi ya maeneo na kuangalia hali ya Dar es Salaam ilivyokuwa kwa sasa huku wananchi wakiwa katika vituo vya kupigia kura.
Hapa ni Magomeni Dar es Salaam.
Barabara ya Msimbazi Center October 25, 2015.
.Barabara ya Wilaya ya Ilala Dar es Salaam hali ya hapa ni tofauti na siku zilizopita kwasababu watu wengi wapo katika vituo vya kupigia kura.
Wafanyabiashara pia nao wamefunga maduka kuelekea kwenye vituo vya kupigia kura.
Pichani kwa mbali Wananchi wakiwa katika zoezi la kusubiri kupiga kura huu ni mtaa wa Kariakoo Dar es Salaam.
Moja kati ya magari mapya ya Askari kwa ajili ya kulima Usalama Tanzania.
Wakazi wa wilaya ya Temeke wakiwa katika harakati za kusubiri kuingia katika chumba cha kupigia Kura,
Huduma za usafiri wa Daladala ulisimama kwa muda kutoka na Uchaguzi Mkuu 2015.
Barabara ya Wilaya ya Kinondoni hali ni shwari
Wafanya biashara wa wilaya ya Kinondoni nao wamefunga maduka kuelekea katika vituo vya kupigia kura.
Wilaya ya Kinondoni.

No comments:
Post a Comment