Tuesday, October 20, 2015

Takwim zaonyesha CCM Kushinda tena Uchaguzi huu

Wengi hatujui kinachochagua kiongozi sio umati ni moyo wa mtu binafsi saa ya kitendo chenyewe kupiga kura.

Naa....kimsingi wengi unaowaona mikutano ya CCM ndo haohao wanakua mikutano ya CHADEMA sio kwamba ni makundi tofauti.

_______

Pichani:
Nawakumbushia tangu upinzani uanze nchini ni Mrema pekee amewahi kutoa upinzani kuliko wote waliotangulia na mbwembwe zote za umati mkubwa

MCHAGUE MAGUFULI 

No comments:

Post a Comment