
Huyu hapa chini ni ISIS akiwauwa raia wasio na hatia

Huyu hapa ni CHADEMA amekamatwa na Mapanga kwa ajili ya kulinda kura wakati wa Uchaguzi

Huyu ni ISIS akiuwa raia wasio na hatia
Ndugu Mtanzania, zinduka na achana na Chama kinacho chochea vurugu na uvunjani wa sheria na amani Tanzania. Ukisha piga kura yako tafadhali rudi nyumbani na usifuate maamrisho ya viongozi wako wa CHADEMA.
CHAGUA AMANI, CHAGUA CCM, CHAGUA MAGUFULI
No comments:
Post a Comment