Thursday, October 8, 2015

PICHA KUTOKA JIMBO LA NYAMAGANA VIWANJA VYA MILONGO MKOANI MWANZA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Milongo mkoani Mwanza kwenye mkutano wa kampeni za CCM.




 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Milongo mkoani Mwanza kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaeleza wananchi hao kuwa CCM imewaletea Rais mchapakazi, mwenye rkodi nzuri ya ufuatiliaji na anayechukia rushwa.

Mgombea ubunge wa jimbo la Nyamagana Ndugu Stanslaus Mabula akihutubia wakazi wa Milongo kwenye mkutano wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi.

No comments:

Post a Comment