Wednesday, October 7, 2015

Mwenyekiti BAVICHA wilaya ya Monduli ajiunga na CCM



Jeremiah Mepukori aliyekuwa Mwenyekiti BAVICHA wilaya ya Monduli akikabidhi kadi yake kwa Dk. John Pombe Magufuli huku Japhet Sironga aliyekuwa Mwenyekiti Chadema wilaya ya Monduli mwenye kofia akifurahia baada ya wote kujiunga na CCM jijini Arusha.

#HapaKaziTu
#KingungeWasalimieUKAWA

No comments:

Post a Comment