Sunday, October 18, 2015

Msafara wa Dr. Magufuli wazuiliwa Igoma-Mwanza





Mh. Magufuli bado yupo Mwanza, na leo hii anaendelea kuzoa kura za wakazi wa Mwanza. Hapa ni Igoma akiwa amezuiliwa na wakazi wa hapo ambao walitaka kumsikia Rais wao wa Tano.

Mh. Magufuli tokea jana amekuwa akiizika UKAWA na kufungisha ofisi zao za Mwanza baada ya kufanya Mkutano wa Kihistoria ambao haujawai tokea barani Afrika. 

Na Mr. Chin

No comments:

Post a Comment