Mkutano wa Tundu Lisu Wadoda, wajaa watoto wa chekechea
Mgombea nafasi ya Ubunge Singida Mashariki yupo njia panda baada ya wakazi wa jimbo hilo kukataa kumsikiliza,wakazi hao wanadai Lisu hana jipya aliloleta katika jimbo hilo tofauti na kupiga makelele kila leo, wanasema hawatafanya kosa tena la kumchagua.
Hali hiyo imesababisha kutafuta watoto wadogo wahudhurie mkutano wake.
No comments:
Post a Comment