Sunday, October 18, 2015

Mh. Magufuli aisimamisha Magu Mkoani Mwanza, UKAWA yapewa bai bai










Naendelea kusema, mtu kwao, lakini hamsikii na mnaziba masikio yenu kwa kuweka uongo wa UKAWA. Hapa ni Magu Mkoani Mwanza. Dr. Magufuli anaendelea kuuzika upinzani kwa kumwaga Sera nzito nzito za maendeleo.

Wakazi wa Magu wameseka wao kura zao zote watampa Mh. Magufuli na wameiaga UKAWA ramsi.

Na Mr. Chin

No comments:

Post a Comment