Thursday, October 15, 2015

MASWALI MAGUMU AMBAYO CHADEMA HAWAWEZI WAKAYAJIBU

1. Kama Kingunge ana kadi namba nane ya CCM, Je Dr.Slaa ana kadi namba ngapi ya Chadema?

2. Kama Kingunge ana kadi namba nane ya CC, Je Lowassa ana kadi namba ngapi ya Chadema
3. Kama Dr.Slaa amenunuliwa na CCM, je Kingunge mmemnunua Sh. ngapi?
4. Kama Chadema mfumo wenu ni mzuri kwanini ulishindwa kuwazuia Dr. Slaa, Zitto na Said Arfi wasisaliti chama kama mnavyodai ni wasaliti? na kama mfumo wenu umeshindwa kumzuia kondoo (Dr. Slaa na Zitto) kubadilika na kuwa Mbuzi, je utawezaje kumbadilisha Mbuzi(Lowassa) na kuwa Kondoo?
5. Je mnaposema CCM haijafanya lolote miaka 54, ni pamoja na ile miaka 23 ambayo Nyerere alikuwa rais? ni pamoja na ile miaka mitano ambayo Nyerere alikuwa mwenyekiti wa CCM? ni pamoja na miaka 10 ambayo Sumaye alikuwa Waziri Mkuu? ni pamoja na miaka 3 ambayo Lowassa alikuwa Waziri Mkuu?

NIMESEMA HAYO NI MASWALI MAGUMU HAKUNA MWANACHADEMA ANAYEWEZA AKAYAJIBU NA KAMA YUPO AJARIBU
Imetolewa na FRIENDS OF DEVELOPMENT (FOD) DSM

No comments:

Post a Comment