
Tarime ndio hii na UKAWA wakimsubiri Lowassa. Hao ndio watu waliopo uwanjani..anayepinga ajitokeze hadharani...maana baadae wasije wakaposti zile picha za Conakry . Subirini mtaona picha zao za kutengeza na mafuriko ya uongo. Mh. Magufuli, IKULU inakusubiri maana hauna mpinzani Tanzania.
HAO NDIO.WALUOJITOKEZA HAPO UWANJANI
MAGUFULI IKULU ILEEE.. HAPA KAZI TU
No comments:
Post a Comment