Vijana wa Nyamagana wameamua kuchagua mabadiliko ya kweli na kuchagua Mbunge mchapa kazi. Mbunge ambaye anawajibika, Mbunge anaye weza kuleta maendeleao kwa vijana na wameamua kumchagua Stanlaus Mabula.
VIJANA WENZANGU TUSIKOSEE SIKU YA KUPIGA KURA MPE KURA YAKO YA NDIO MABULA --- MABULA MBELEEE KWA MBELEEE --- NYAMAGANA TUNASONGA MBELE NA MABULA -- MABULA OYEEEEE -- HAPA KAZI TU -
No comments:
Post a Comment