Lowassa na UKAWA waendelea kutumia picha BANDIA na kudai ni MWANZA
Hivi UKAWA MTADANGANYA Mpaka lini? Majuzi tu, tuliwaumbua kwa picha za Conakry, sasa mnatupia picha za Jangwani kama Mwanza. Hakika sikio la kufa halisikii dawa.UKAWA ACHENI UOPNGOLOWASSA KWISHA HABARI YAKE
No comments:
Post a Comment